LIVE :MKUTANO WA MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHUNGUZI WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Dec 2, 2025Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3Updated Just now

Video Overview

Video Details

Published7 months ago
Duration1:10:40
Video ID6bDcXj14kL4
Languagesw
CategoryPeople & Blogs
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video

Performance Metrics

Views1.2K
Likes4
Comments0
Engagement Rate0.35%
Likes per 100 views0.35
Comments per 1K views0.00

Description

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani October 29, 2025 atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, ikiwa ni siku ya 13 tangu tume hiyo itangazwe na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dkt. Samia aliipa tume hiyo miezi mitatu kuja na majibu ya vitu hivi saba, ambavyo ni: kuchunguza chanzo cha kadhia na sababu halisi zilizoibua vurugu; kutathmini madai ya vijana walioingia barabarani na kubaini walikuwa wanadai haki gani; kuchambua matamshi ya vyama vya upinzani, ikiwemo kauli za uchochezi zinazodaiwa kutolewa kabla ya uchaguzi. Aidha, kuangalia uhusiano kati ya vyama vya siasa na Tume ya Uchaguzi; kuchunguza mchango wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) ya ndani na nje katika matukio ya October 29, 2025; kutathmini kama kulikuwa na njia mbadala zaidi ya maandamano, uvunjifu wa amani, na vitendo vya uchomaji ili kushughulikia changamoto kati ya tume, vyama vya siasa na serikali. Rais Samia aliagiza pia Tume hiyo kuangalia hatua zilizochukuliwa na vyombo vya dola kukabiliana na vurugu, na kama zilikuwa sahihi au zilikithiri. Hata hivyo, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliipinga tume hiyo na kutaka tume ya nje, hoja ambayo ilifibiwa na Rais Dkt. Samia kuwa lazima tuanze na uchunguzi wetu wa ndani kwanza kabla ya kuita watu wa nje

Related Videos

More videos from Jamvi Online TV