IRAN YAZIJIA JUU NCHI za MASHARIKI ya KATI - YAZIONYA KUSHIRIKIANA na ISRAEL HAKUTASABABISHA UTULIVU
May 18, 2026•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published1 week ago
Duration3:59
Video IDIS6NaXYN-uA
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video
Performance Metrics
Views5.2K
Likes72
Comments4
Engagement Rate1.47%
Likes per 100 views1.39
Comments per 1K views0.77
Video Tags
Description
IRAN YAZIJIA JUU NCHI za MASHARIKI ya KATI - YAZIONYA KUSHIRIKIANA na ISRAEL HAKUTASABABISHA UTULIVU
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; JUMA KAHEMELA
Iran imeongeza tahadhari kali kwa baadhi ya mataifa ya Mashariki ya Kati dhidi ya kile ilichokitaja kuwa ushirikiano wa karibu na Israel, baada ya kuibuka kwa madai kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alifanya ziara ya siri katika United Arab Emirates katikati ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Kauli hiyo imeongeza mvutano mpya wa kidiplomasia katika eneo la Ghuba, huku Tehran ikionya kuwa ushirikiano wowote wa kijeshi au kiusalama na Israel unaweza kuwa na madhara makubwa kwa usalama wa kikanda.
=============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx