WAKUU WA SHULE MSIWE KIKWAZO CHA UTENDAJI KAZI WA WALIMU" WAZIRI SHEMDOE

Dec 17, 2025Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3Updated Just now

Video Overview

Video Details

Published6 months ago
Duration2:56
Video IDO1Y7EmUqpx8
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeYouTube Short

Performance Metrics

Views1.3K
Likes13
Comments1
Engagement Rate1.04%
Likes per 100 views0.96
Comments per 1K views0.74

Description

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka Wakuu wa Shule za Sekondari nchini kutokuwa kikwazo cha utendaji kazi wa walimu wanaowasimamia, akisisitiza kuwa jukumu lao la msingi ni kuweka mazingira wezeshi yatakayowawezesha walimu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi. Prof. Shemdoe wito huo leo kwa Wakuu hao wa shule nchini, wakati akifungua Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), unaofanyika Jijini Arusha katika Ukumbi wa Tanzania "Walimu wakuu mmepewa hizi nafasi za uongozi ili muwaongoze na kuwasaidia walio chini yenu, hivyo msiwe vikwazo kiutendaji katika shule mnazozisimamia,” amesisitiza Prof. Shemdoe Prof. Shemdoe amesema, haipendezi kwa Mkuu wa shule unapoonekana mwalimu wa taaluma anatafuta njia tofauti ya kupita ili kukukwepa, wakati mwalimu mkuu anapaswa kuwa na mahusiano mazuri na walimu, mahusiano ambayo yatajenga umoja na ari ya walimu katika kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi.

Related Videos

More videos from Millard Ayo