NCHIMBI AMUWAKILISHA RAIS SAMIA NCHINI UGANDA
Dec 22, 2025•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published6 months ago
Duration0:29
Video IDR1VrKXj93Xw
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeYouTube Short
Performance Metrics
Views7.4K
Likes62
Comments2
Engagement Rate0.87%
Likes per 100 views0.84
Comments per 1K views0.27
Description
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Eneo la Maziwa Makuu, uliyofanyika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda.
Mkutano huo, umejadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kutafuta amani ya kudumu ya eneo hilo.