BAADA YA HUKUMU YA POLISI KUNYONGWA: BABA WA MAREHEMU AMPONGEZA RAIS SAMIA NA KUMWOMBA MWIGULU HAKI
Jun 15, 2026•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published4 weeks ago
Duration6:58
Video IDXclNkCGTpH4
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video
Performance Metrics
Views2K
Likes16
Comments2
Engagement Rate0.92%
Likes per 100 views0.82
Comments per 1K views1.02
Video Tags
Description
BAADA YA HUKUMU YA POLISI KUNYONGWA: BABA WA MAREHEMU AMPONGEZA RAIS SAMIA NA KUMWOMBA MWIGULU HAKI
@BALLDANCER @ROY - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Baada ya kusubiri kwa zaidi ya miaka mitatu tangu kupoteza maisha kwa mwanawe katika mazingira ya kutatanisha, hatimaye Mzee Said Bakary Mnally amevunja ukimya wake na kueleza hisia zake kuhusu safari ndefu ya kutafuta haki.
Mzee Mnally ni baba mzazi wa Musa Hamis, mfanyabiashara kutoka mkoani Lindi ambaye aliuawa mwezi Januari mwaka 2022. Kesi hiyo iligusa hisia za Watanzania wengi baada ya askari polisi kadhaa kuhusishwa na tukio hilo, na baadaye kufikishwa mahakamani. Ripota wetu, Issa Mnally amefika Kijiji cha Luponda, Wilaya ya Nachingwea Lindi na kuzumza na Mzee Bakary.
=============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 45136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx