CHADEMA KIBAHA WAJILIPUA TUHUMA za HECHE - "AONDOKE ATUACHIE CHAMA CHETU"..
Jul 16, 2026•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published3 days ago
Duration3:39
Video IDXhCLv5D00lQ
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video
Performance Metrics
Views4.1K
Likes16
Comments120
Engagement Rate3.34%
Likes per 100 views0.39
Comments per 1K views29.43
Description
CHADEMA KIBAHA WAJILIPUA TUHUMA za HECHE - "AONDOKE ATUACHIE CHAMA CHETU"..
:
Viongozi na wanachama wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini wamemtaka Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, kujitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma zinazomkabili, wakisema ukimya wake unaendelea kuzua sintofahamu na kuathiri taswira ya chama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini, Shabani Ally Mchezo, alisema kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, Makamu Mwenyekiti ndiye anayebeba dhamana ya kukiongoza chama wakati Mwenyekiti wa Taifa, Tundu Lissu, hayupo kutokana na kesi inayomkabili.
Mchezo alisema kutokana na nafasi hiyo ya uongozi, Heche anapaswa kujitokeza mbele ya umma na kueleza ukweli kuhusu tuhuma zinazomkabili ili kuondoa mashaka yaliyopo miongoni mwa wanachama na wananchi.
@Hilaly Daud