Jinsi ya kuweka na kufuatilia udhibiti wa wazazi kwa akaunti zinazodhibitiwa na mzazi | WhatsApp
Mar 25, 2026•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published2 months ago
Duration3:02
Video IDav_aIudShSE
Languageen
CategoryScience & Technology
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video
Performance Metrics
Views223
Likes3
Comments0
Engagement Rate1.35%
Likes per 100 views1.35
Comments per 1K views0.00
Video Tags
#udhibiti wa wazazi#udhibiti wa wazazi wa whatsapp#faragha ya whatsapp#usalama wa whatsapp#akaunti inayosimamiwa na mzazi#whatsapp kwa watoto#whatsapp watoto#zana za whatsapp#zana za usalama za whatsapp#mipangilio ya faragha ya whatsapp#jinsi ya kutumia whatsapp#jinsi ya#mawasiliano ya whatsapp#ujumbe wa whatsapp#whatsapp#kutuma ujumbe#ujumbe wa papo hapo#mafunzo ya whatsapp#kutumia whatsapp#whatsapp kwa wazazi
Description
Akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp huja na vidhibiti vya wazazi vilivyojumuishwa kwenye programu ili kuwawezesha wazazi na walezi kudhibiti utumiaji wa mtoto wao kwenye WhatsApp.
Vidhibiti vya wazazi vya WhatsApp vya akaunti zinazodhibitiwa na wazazi huwaruhusu wazazi kuweka vidhibiti vinavyofaa kwa ajili ya mtoto wao, kama vile:
Usimamizi wa waasiliani: Wazazi wanaweza kuchagua ni nani anayeweza kuwasiliana na mtoto wao na kuamua ni vikundi gani mtoto wao anaweza kujiunga.
Mipangilio ya faragha: Wazazi pekee ndio wanaweza kufikia na kurekebisha mipangilio hii kulingana na mahitaji ya familia zao.
Arifa za usalama: Wazazi wanaweza kupokea arifa kuhusu masasisho muhimu kuhusu shughuli za akaunti ya mtoto wao.
Ili kupata maelezo zaidi kuhusu udhibiti wa wazazi kwa akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea https://faq.whatsapp.com/1201762518588626/
Ili kujifunza jinsi ya kutazama na kudhibiti mipangilio ya faragha ya akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea, https://faq.whatsapp.com/859614350128048
Kwa rasilimali zaidi kuhusu akaunti zinazodibitiwa na wazazi kwenye WhatsApp, tembelea Kituo cha Msaada wa Wazazi https://faq.whatsapp.com/894871699629864
Sura
0:00 Zana
0:13 Chagua ni nani anayeweza kuwasiliana nawe
1:07 Dhibiti mipangilio ya faragha
1:49 Simamia shughuli ya mtoto
2:28 Faragha kwa familia yako
2:28 Zuia na uripoti
2:50 Tazama vidokezo zaidi
Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwenye kituo chetu cha YouTube: https://www.youtube.com/user/WhatsAppInc
Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp
Penda WhatsApp kwenye Facebook: https://www.facebook.com/WhatsApp
Fuata WhatsApp kwenye Instagram: https://www.instagram.com/whatsapp
Fuata WhatsApp kwenye X: https://X.com/whatsapp
#WhatsApp #Messaging #Privacy #ParentalControls #WhatsAppkids #WhatsAppPrivacy