TRUMP ANAHOFIA KUSHAMBULIWA? ABADILI NDEGE GHAFLA AKIREJEA WASHINGTON KUTOKA UTURUKI-HOFU ya USALAMA
Jul 9, 2026•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published3 days ago
Duration4:15
Video IDipI3Tl4y7EE
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video
Performance Metrics
Views5.5K
Likes77
Comments26
Engagement Rate1.88%
Likes per 100 views1.41
Comments per 1K views4.74
Video Tags
Description
TRUMP ANAHOFIA KUSHAMBULIWA? ABADILI NDEGE GHAFLA AKIREJEA WASHINGTON KUTOKA UTURUKI-HOFU ya USALAMA
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; IDRISA ABDEREMANI
Rais wa Marekani Donald Trump amerejea mjini Washington, D.C., baada ya kuhitimisha mkutano muhimu wa viongozi wa NATO uliofanyika nchini Uturuki, akitumia ndege ya zamani ya Air Force One badala ya ndege mpya ambayo Qatar iliahidi kuikabidhi kwa matumizi ya serikali ya Marekani. Uamuzi huo umevutia hisia kubwa za kisiasa na kiusalama, huku vyanzo vya karibu na Ikulu vikieleza kuwa ulifanywa kwa kuzingatia usalama wa rais kutokana na kuongezeka kwa vitisho vinavyohusishwa na mvutano mkali kati ya Marekani na Iran.
=============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx