MAREKANI YAIGOMEA ISRAEL - YAKATAA KUONDOA NDEGE za KIVITA UWANJA wa BEN GURION LICHA ya MALALAMIKO
Jul 16, 2026•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published4 days ago
Duration4:45
Video IDjHl7mXFuM9s
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video
Performance Metrics
Views10.6K
Likes101
Comments16
Engagement Rate1.10%
Likes per 100 views0.95
Comments per 1K views1.51
Video Tags
Description
MAREKANI YAIGOMEA ISRAEL - YAKATAA KUONDOA NDEGE za KIVITA UWANJA wa BEN GURION LICHA ya MALALAMIKO
Marekani imeongeza shinikizo kwa Israel baada ya kuibuka tena kwa mgogoro kuhusu ndege zake za kijeshi za kujaza mafuta angani (refuelling aircraft) ambazo zimekuwa zikipaki katika Uwanja wa Ndege wa Ben-Gurion.
Mgogoro huo, ambao hapo awali ulionekana kuwa umetatuliwa baada ya mamlaka za Israel kupendekeza ndege hizo zihamishiwe maeneo mengine ya kijeshi, sasa umeingia katika hatua mpya na umefika ngazi ya viongozi wa juu wa kisiasa wa nchi hizo mbili.
Wizara ya Uchukuzi ya Israel ilitangaza Jumatano kuwa imefikia makubaliano ya kuhamisha baadhi ya rasilimali za kijeshi za Marekani kutoka Ben-Gurion kwenda maeneo mengine ili kupunguza msongamano katika uwanja huo.
=============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx