SAID ISSA MOHAMMED AMEKISHTAKI TENA CHADEMA🤔 #breaking #globaltv #chadema #shortsviral
Jun 11, 2026•Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3•Updated Just now
Video Overview
Video Details
Published1 month ago
Duration0:46
Video IDpN1aYdNebqA
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeYouTube Short
Performance Metrics
Views1.9K
Likes8
Comments2
Engagement Rate0.54%
Likes per 100 views0.43
Comments per 1K views1.08
Description
@brendarupiaofficial
SAID ISSA MOHAMED AMESHITAKI TENA CHAMA:
Tumepokea wito pamoja na hati ya madai kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Dar Es Salaam ukitaka Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu wawasilishe utetezi wake dhidi ya hati ya madai ya said Isaa na mwenzake Ahmed.
Madai yao ni yale yale na wanaomba nafuu zile zile ikiwemo Chama kuzuiliwa tena kufanya shughuli za kisiasa.
Kesi hiyo namba 13832/2026 imepangwa kwa Mhe Jaji MBAGWA na itatajwa tarehe 15/06/2026 saa tatu kamili Asubuhi.