TRUMP AIFOKEA ISRAEL KUISHAMBULIA BEIRUT - AITAKA IACHE MAZUNGUMZO YAENDELEE - "HAMKUPASWA KABISA"

Jun 14, 2026Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3Updated Just now

Video Overview

Video Details

Published4 weeks ago
Duration4:46
Video IDqMqzxrr3zag
Languagesw
CategoryNews & Politics
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeRegular Video

Performance Metrics

Views5K
Likes58
Comments15
Engagement Rate1.46%
Likes per 100 views1.16
Comments per 1K views3.00

Description

TRUMP AIFOKEA ISRAEL KUISHAMBULIA BEIRUT - AITAKA IACHE MAZUNGUMZO YAENDELEE - "HAMKUPASWA KABISA" @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Rais wa Marekani, Donald Trump, ameikosoa vikali Israel kufuatia mashambulizi ya leo yaliyofanywa katika vitongoji vya kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Be irut, akisema kuwa hatua hiyo haikupaswa kutokea hasa katika kipindi ambacho mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran yanaonekana kufikia hatua nyeti. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa Truth Social, Trump alisema shambulio hilo linaweza kuhatarisha jitihada za kidiplomasia zinazolenga kuleta utulivu katika Mashariki ya Kati. ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 45136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Related Videos

More videos from Global TV Online