Jinsi ya kuripoti na kuzuia mwasiliani (iPhone) | WhatsApp

Nov 6, 2025Channel
AI Analysis
Data from YouTube Data API v3Updated Just now
WhatsApp
WhatsApp

6.8M subscribers

View Channel

Video Overview

Video Details

Published8 months ago
Duration0:54
Video IDzR0TpLllDTI
Languageen
CategoryScience & Technology
PrivacyPublic
Made for KidsNo
Video TypeYouTube Short

Performance Metrics

Views1
Likes0
Comments0
Engagement Rate0.00%
Likes per 100 views0.00
Comments per 1K views0.00

Description

Kuzuia mwasiliani kwenye WhatsApp ni mchakato rahisi na unaweza kufanywa kwa hatua chache rahisi. Jifunze jinsi ya kufanya hivyo kwenye iPhone yako. Unaweza pia kuwaripoti kwa WhatsApp ikiwa ungependa kufanya hivyo. Ikiwa kikundi au mtu atashiriki ujumbe wenye matatizo au usiotakikana, unaweza kumripoti na kumzuia. Jifunze jinsi ya kuripoti na kuzuia mwasiliani kwenye WhatsApp katika hatua chache rahisi. Ili kumzuia mwasiliani, donoa jina la mwasiliani wako katika sehemu ya juu ya gumzo. Kisha uchague zuia chini ya skrini ya maelezo ya mwasiliani. Unaweza pia kuyaripoti kwa kudonoa Zuia na uripoti. Waasilani waliozuiwa au nambari za simu zilizozuiwa hawataweza tena kukupigia simu au kukutumia ujumbe. Kwa maelezo zaidi kuhusu #WhatsAppBlocking, tembelea: https://faq.whatsapp.com/1142481766359885/ Kwa #VidokezovyaWhatsApp zaidi, jiandikishe kwenye kituo chetu cha YouTube: https://www.youtube.com/user/WhatsAppInc Endelea kuwasiliana kwenye WhatsApp Penda WhatsApp kwenye Facebook: https://www.facebook.com/WhatsApp Fuata WhatsApp kwenye Instagram: https://www.instagram.com/whatsapp Fuata WhatsApp kwenye X: https://X.com/whatsapp #whatsapp #howto #messaging #privacy #whatsappblock #block #iphone

Related Videos

More videos from WhatsApp